Karibu Kujiunga na Mafunzo ya
Mobile App Development
kwa Lugha ya Kiswahili
Habari yako,
Naitwa Dastani Ferdinandi, na mimi ni Mhandisi wa Programu (Software Engineer) mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka nane. Leo, ninakuletea mafunzo maalum ya kujifunza utengenezaji wa programu za simu (Mobile Apps) kwa Kiswahili. Katika taaluma yangu, nimefanikiwa kutengeneza zaidi ya Tsh milioni 105 kupitia utengenezaji wa programu hizi.
Karibu ujifunze na upate ujuzi wa kina katika kutengeneza programu za simu kwa lugha yako ya Kiswahili. Hii ni fursa adimu ya kujiongezea maarifa na kukuza uwezo wako katika teknolojia ya kisasa.
Kila mtu ana uwezo wa kujifunza coding na kuwa master. Cha msingi ni kuweka nia na malengo. Haijalishi umeishia la pili au la nne, mafunzo haya ni kwa ajili yako! Nitakupa mafunzo ambayo yanabase sana kwenye Mobile App Development ambayo yatakusaidia. Nje ya mafunzo, utajua njia mbalimbali zinazokusaidia kutengeneza kipato kupitia ujuzi wa kutengeneza Mobile Apps. Tuna mpango wa makundi matatu: Basic Plan, Middle Class Plan, na Premium Plan.
Complete Course
1,000,000 Tsh
Au Unaweza Lipa kwa awamu 4 , 250,000 kila week
- Utangulizi wa Flutter
- Msingi wa Dart
- Msingi wa Flutter
- Kuboresha UI na UX
- Kufanya Kazi na Data
- Kutangaza na Kusambaza
Basic Plan
60,000Tsh/Monthly
- Video tutorials za msingi za Mobile App Development.
- Misingi ya programming na zana muhimu za kutumia.
- Mikutano ya mtandaoni mara moja kwa wiki kujadili masuala mbalimbali na kujibu maswali.
Middle Class Plan
120,000Tsh/Monthly
utapata kila kitu kutoka Basic Plan pamoja na:
- Mikutano ya mtandaoni mara mbili kwa wiki kujadili masuala mbalimbali na kujibu maswali.
- Video tutorials za kina na za hatua kwa hatua.
- Project za vitendo za kukuza ujuzi wako.
- Mikutano ya moja kwa moja na wataalam mbalimbali wa Mobile App Development mara moja kwa mwezi.
- Ushauri wa moja kwa moja na wa kibinafsi juu ya miradi yako na changamoto unazokutana nazo.
- Kukuunganisha na watu muhimu na makampuni katika sekta ya teknolojia.
- Njia mbalimbali za kutengeneza kipato kupitia ujuzi wako wa kutengeneza Mobile Apps.
400,000Tsh/Monthly
Kwenye Premium Plan utapata kila kitu kutoka Middle Class Plan pamoja na
- Mikutano ya mtandaoni mara nne kwa wiki kujadili masuala mbalimbali na kujibu maswali.
- Upatikanaji wa vifaa vya ziada kama vile templates na libraries za kukusaidia kuharakisha mchakato wa maendeleo ya app.
- Kuwasiliana na fursa za kazi na intership kutoka kwa washiriki wetu mbalimbali
- Msaada wa saa 24 kwa siku 7 kwa wiki kwa maswali na changamoto zako.
- Upatikanaji wa zana za premium na software za kitaalam za maendeleo ya app.